Msanii wa muziki wa hiphop tanzania Lukas Gibson Mamboleo amekiri kuwa hivi karibini aliingia kwenye muziki wa asiri Mbali na hayo Lukas ame tuletea kazi mbili Kati ya kazi hizo moja ikiwa ni ya hiphop na nyingine ya asiri wakati akitukabidhi kazi hizo pia lukas aliomba ushaul kwa wadau wa muziki kumwambia ni wapi ana faa Zaid karibun wadau wa muziki muitazame video ya Mwamba Luka Mkali Mwamba Luka ft shedy b najuta kukupa kura pia karibu uitazame hii Mwamba Luka ft wamwiduka kupenda kubaya
Kwa tathmini rahisi tu, Ibrahim Ajib 'Mzee wa makorokoro' ndiye anapaswa kuwa nyota wa mchezo leo baada ya kuisaidia Yanga kwa kiasi kikubwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Kagera Sugar. Baada ya ukame wa mabao kwa muda mrefu katika ligi, Ajib leo amefunga bao lake la sita msimu huu huku pia pasi yake murua ikizaa bao la pili la Yanga. Ajib ndiye aliyekuwa akiisumbua sana ngome ya Kagera Sugar. Hakika kwa sasa ndiye mchezaji mahiri zaidi katika kupiga pasi za mabao. Kiwango chake katika klabu ya Yanga, kimewafanya mashabiki wamsahau kwa haraka sana Haruna Niyonzima aliyetimkia Simba. Je umewahi kusikia nyimbo ya mwamba Luka? Nimekuwekea hapa chini karibu utazame Mpendwa
Mwanamuziki Lukas Gibson mamboleo kuachia video yake mpya hivi karibini Lukas alisema hayo alipohojiwa na mwandishi wetu Isaac Gibson hata hivyo Lukas hakusema ni aina gani ya Nyimbo inayofuata lkn ninge penda tujikumbushe na hii Kama uliikosa video ya Mwamba Luka Mkali bonyeza play hapo juu Asante kwa kuchagua Itewe.blogspot.com
Maoni
Chapisha Maoni