Mechi ya simba ipo hapa karibu uitazame
Machapisho
Inaonyesha machapisho kuanzia Machi, 2018
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
Mshambuliaji wa Yanga Amissi Tambwe anatarajiwa kuanza mazoezi na kikosi cha Yanga baada ya kumaliza matibabu ya majeraha yake. Kulingana na Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano ya Yanga, Hussein Nyika, Tambwe alipewa mapumziko ya wiki mbili na sasa muda huo umemalizika hivyo ataanza mazoezi mepesi. Tambwe sasa anaungana na Donald Ngoma ambaye tayari ameshaanza mazoezi mepesi kuuweka mwili wake sawa kabla ya kurejea rasmi dimbani. Habari kwa hisani ya mwana jangwani app inayo patikana play store Je? Umewahi tazama video ya mwamba Luka? Bonyeza plau nimekuwekea hapo chini
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
Kwa tathmini rahisi tu, Ibrahim Ajib 'Mzee wa makorokoro' ndiye anapaswa kuwa nyota wa mchezo leo baada ya kuisaidia Yanga kwa kiasi kikubwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Kagera Sugar. Baada ya ukame wa mabao kwa muda mrefu katika ligi, Ajib leo amefunga bao lake la sita msimu huu huku pia pasi yake murua ikizaa bao la pili la Yanga. Ajib ndiye aliyekuwa akiisumbua sana ngome ya Kagera Sugar. Hakika kwa sasa ndiye mchezaji mahiri zaidi katika kupiga pasi za mabao. Kiwango chake katika klabu ya Yanga, kimewafanya mashabiki wamsahau kwa haraka sana Haruna Niyonzima aliyetimkia Simba. Je umewahi kusikia nyimbo ya mwamba Luka? Nimekuwekea hapa chini karibu utazame Mpendwa
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
MWAMBA LUKA HUENDA AKAREJEA KUPEPERUSHA BENDERA YA ITEWE HIVI KARIBUNI msanii wa muziki asilia aliye wahi kutamba na kibao chake kilichokwenda kwa jina la KUPENDA KUBAYA Lukas mamboleo huenda akarejea kwenye muziki huo baada ya kuacha muziki huo kwa muda mrefu Lukas (mwamba luka) alikua akifanya muziki ambao yeye binafsi aliuita muziki wa itewe japo muziki huo ulivuka mipaka ya mkoa wambeya Lukas pia aliwahi kujisifu na kusuma yy ndiye msanii pekee kutoka itewe mwenye kipaji kisicho tia mashaka. Akaenderea kwa kusema yeye ni mpeperusha bendera wa itewe kwa njia ya muziki na mitandao ya kijamii . Ukiachilia mbali kujisifu kwa msanii Lukas ni wazi kuwa yeye ndiye n yota wa muziki wa itewe na hili halina mashaka kutokana na uthabiti wake katika kupanga mashaili pia baada ya mwambaluka kusitisha ku