Mshambuliaji wa Yanga Amissi Tambwe anatarajiwa kuanza mazoezi na kikosi cha Yanga baada ya kumaliza matibabu ya majeraha yake.

Kulingana na Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano ya Yanga, Hussein Nyika, Tambwe alipewa mapumziko ya wiki mbili na sasa muda huo umemalizika hivyo ataanza mazoezi mepesi.

Tambwe sasa anaungana na Donald Ngoma ambaye tayari ameshaanza mazoezi mepesi kuuweka mwili wake sawa kabla ya kurejea rasmi dimbani.

Habari kwa hisani ya mwana jangwani app inayo patikana play store 

Je?  Umewahi tazama video ya mwamba Luka? Bonyeza plau nimekuwekea hapo chini

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii