Machapisho

Picha
         BEST NASSO AJA KIVINGINE  ACHIA NYIMBO KALI AMBAYO PIA NI STORY ATHIBITISHA  MAAJABU YAKE KWENYE WIMBO HUU TUMIA MDA WAKO KUITAZAMA
Picha
                                      MWAMBA LUKA AAMUA KUACHA MUZUKI                                     Msanii wa muziki wa hiphop na muziki wenye asiri ya kisafwa LUKAS MAMBOLEO maarufu kama MWAMBA LUKA ameiambia itewe yetu kua hafikilii tena kufanya muziki kwani ni kazi anayo penda lakini haikuweza kumpatia kipato anacho stahiri mwamba luka pia amethibitisha kua yeye kwa sasa anafanya kazi ya usajiri wa simkadi kazi inayo fanya ayamudu mahitaji yake vizuri lukas ameyasema hayo wakati alipo hojiwa na mwandishi wa itewe yetu          ikkwe kua kila kazi unayofanya ni kwa sababu unahitaji kupata kipato sasa I can not do music work hard does not cost me any money I size is an agent I was paid better than even a musician  
Picha
Mechi ya simba ipo hapa karibu uitazame
Picha
Mshambuliaji wa Yanga Amissi Tambwe anatarajiwa kuanza mazoezi na kikosi cha Yanga baada ya kumaliza matibabu ya majeraha yake. Kulingana na Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano ya Yanga, Hussein Nyika, Tambwe alipewa mapumziko ya wiki mbili na sasa muda huo umemalizika hivyo ataanza mazoezi mepesi. Tambwe sasa anaungana na Donald Ngoma ambaye tayari ameshaanza mazoezi mepesi kuuweka mwili wake sawa kabla ya kurejea rasmi dimbani. Habari kwa hisani ya mwana jangwani app inayo patikana play store  Je?  Umewahi tazama video ya mwamba Luka? Bonyeza plau nimekuwekea hapo chini
Picha
Kwa tathmini rahisi tu, Ibrahim Ajib 'Mzee wa makorokoro' ndiye anapaswa kuwa nyota wa mchezo leo baada ya kuisaidia Yanga kwa kiasi kikubwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Kagera Sugar. Baada ya ukame wa mabao kwa muda mrefu katika ligi, Ajib leo amefunga bao lake la sita msimu huu huku pia pasi yake murua ikizaa bao la pili la Yanga. Ajib ndiye aliyekuwa akiisumbua sana ngome ya Kagera Sugar. Hakika kwa sasa ndiye mchezaji mahiri zaidi katika kupiga pasi za mabao. Kiwango chake katika klabu ya Yanga, kimewafanya mashabiki wamsahau kwa haraka sana Haruna Niyonzima aliyetimkia Simba. Je umewahi kusikia nyimbo ya mwamba Luka?  Nimekuwekea hapa chini karibu utazame Mpendwa 
Picha
MWAMBA LUKA HUENDA AKAREJEA KUPEPERUSHA BENDERA YA ITEWE HIVI KARIBUNI         msanii wa muziki asilia aliye wahi kutamba na kibao chake kilichokwenda kwa jina la KUPENDA KUBAYA Lukas mamboleo huenda akarejea kwenye muziki huo baada ya kuacha muziki huo kwa muda mrefu Lukas (mwamba luka) alikua akifanya muziki ambao yeye binafsi aliuita muziki wa itewe japo muziki huo ulivuka mipaka ya mkoa wambeya Lukas pia aliwahi kujisifu na kusuma yy ndiye msanii pekee kutoka itewe mwenye kipaji kisicho tia mashaka. Akaenderea kwa kusema yeye ni mpeperusha bendera wa itewe kwa njia ya muziki na mitandao ya kijamii                                                                                                        ...
Picha
#MAGAZETI YA LEO Tundu lissu akomalia vyeti vya bashite Tundu lissu akomalia vyeti vya makonda

BEST NASSO AJA NA BONGE LA NYIMBO KARIBU UITAZAMA KUPITIA itewe.blogspot.com

Picha
BEST NASSO AJA NA BONGE LA NYIMBO KARIBU UITAZAMA KUPITIA itewe.blogspot.com je ulikosa kutazama video ya mwamba luka? bonyeza play hapa chin kuitazama 

yanga yaitandika azam bao 1:0

Picha
yanga yaitandika azam bao 1:0   mabingwa watetezi wa ligi kuu vadacom tanzania bara yanga leo wameipiga azam na kuchukua point tatu muhimu. Goli la yanga lili fungwa na  chirwa     ULIKOSA KUITAZAMA VIDEO YA KESSE NJOJOO  BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUITAZAMA             

kesse njojoo ahadi

Picha
ulikosa kuitazama video ya kesse njojoo bonyeza play hapa chini kuitazama
Follow this link to join my WhatsApp group: https://chat.whatsapp.com/AGuDVELQiw23SCAa0g2s0O

MAKONDA AHOJIWA NA KAMATI YA BUNGE

Picha
VIDEO  MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAM  POUL MAKONDA AHOJIWA NA KAMATI YA BUNGE  ulikosa kuitazama video ya Mwamba Luka Mkali? bonyeza play hapa chini kuitazama 

nuh mziwanda

Picha
NUH MZIWANDA KAJA NA HII VIDEO MPYA KARIBU UITAZAME              NUH MZIWANDA ANAMEREMETA ulikosa kuitazama video ya Mwamba Luka Mkali bonyeza play hapa chini kuitazama 
KIRIBU  KWENYE BLOG YANGU YA  itewe.blogspot.co

katibu mkuu cuf avuliwa uongozi

Picha
katibu mkuu  cuf avuliwa uongozi         akiongea na waandishi wa Habari mwenye Kiti wa Chama hicho alisema yafuataya        bonyeza play usikilize mwenyekiti wa cuf ulikosa kuitazama video ya Mwamba Luka Mkali bonyeza play hapa chini kuitazama 

KARIBU UITAZAME VIDEO ZA MWAMBA LUKA

Picha
          Msanii wa muziki wa hiphop tanzania Lukas Gibson Mamboleo amekiri kuwa hivi karibini aliingia kwenye muziki wa asiri            Mbali na hayo Lukas ame tuletea kazi mbili Kati ya kazi hizo moja ikiwa ni ya hiphop na nyingine ya asiri            wakati akitukabidhi kazi hizo pia lukas aliomba ushaul kwa wadau wa muziki  kumwambia ni wapi ana faa Zaid  karibun wadau wa muziki muitazame video ya Mwamba Luka Mkali  Mwamba Luka ft shedy b najuta kukupa kura pia karibu uitazame hii Mwamba Luka ft wamwiduka kupenda kubaya
Picha
Mwanamuziki Lukas Gibson mamboleo kuachia video yake mpya hivi karibini Lukas alisema hayo alipohojiwa na mwandishi wetu Isaac Gibson hata hivyo Lukas hakusema ni aina gani ya Nyimbo inayofuata lkn ninge penda tujikumbushe na hii Kama uliikosa video ya Mwamba Luka Mkali bonyeza play hapo juu Asante kwa kuchagua  Itewe.blogspot.com

KIRIBU KWENYE BLOG YANGU YA itewe.blogsport.com

Picha
Kwa Mara ya kwanza tunakuletea blog yetu ya  ........ itewe.blogsport.com Sasa unaweza kutazama video zote kali kutoka YouTube